1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni kwa kiasi gani Marekani imegawanyika?

Rashid Chilumba5 Juni 2020

Migawanyiko inashuhudiwa nchini Marekani kuhusiana na suala tete la ubaguzi wa rangi na ukatili unaofanywa na polisi dhidi ya watu weusi karibu kila wakati. Tangu kifo cha George Floyd, Marekani imegawika kati ya wanaopaza sauti kulaani ubaguzi na wale wanaojaribu kuwanyamazisha wakosoaji wa mfumo uliopo. Rashid Chilumba amemuuliza Prof. David Monda iwapo Marekani inaweza kumaliza ubaguzi.

https://p.dw.com/p/3dJpm