Mwanamuziki Roma azungumzia kutekwa kwake | Anza | DW | 10.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Mwanamuziki Roma azungumzia kutekwa kwake

Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam, wanamuziki huyo ameandamana na Waziri wa habari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Harrison Mwakenyembe.

Tazama vidio 01:35
Sasa moja kwa moja
dakika (0)