1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanaharakati wa Iran Narges ashinda tuzo ya Nobel 2023

6 Oktoba 2023

Mwanaharakati wa Kiirani aliyefungwa Narges Mohammadi ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel siku ya Ijumaa kwa kutambua harakati zake za kutetea haki za wanawake na demokrasia bila kuchoka na kupinga hukumu ya kifo.

https://p.dw.com/p/4XDm8
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio