MSF na vita dhidi ya Malaria Nduta | Media Center | DW | 19.12.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

MSF na vita dhidi ya Malaria Nduta

Shirika la hisani la Madaktari wasio na Mipaka MSF linaendesha kampeni ya kupambana na Malaria katika kambi ya wakimbizi ya Nduta, mkoani Kigoma nchini Tanzania. Ripota wetu Hawa Bihoga alitemebea kambi hiyo kujionea kazi inayofanywa na MSF na kuandaa vidio hii.

Tazama vidio 02:39