1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Mmasai wa kwanza kula samaki"

Sudi Mnette31 Agosti 2017

Katika kipindi karibuni cha "Karibuni" (02.09.2017) utaweza kumsikiliza mrembo wa Tanzania 1999 ambae pia ni afisa habari wa Umoja wa Mataifa katika taifa hilo lakini vilevile kijana wa Kimasai Rico Lamara anaejivunia ufahamu wake kupitia matangazo ya DW.

https://p.dw.com/p/2jA67