1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe watatizwa

VERONICA NATALIS4 Machi 2020

Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Freeman Mbowe amelaani kitendo cha baadhi ya watu kuvamia na kufanya vurugu katika mkutano wake uliofanyika katika eneo la Machame mkoani Kilimanjaro. Mbowe anasema watu hao waliandaliwa ili kwenda kuvamia katika mkutano wake na kufanya vurugu.

https://p.dw.com/p/3YqMY