Mkutano wa G20 waanza Hamburg | Anza | DW | 07.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Mkutano wa G20 waanza Hamburg

Viongozi wa nchi tajiri na zile zinazostawi kiuchumi za kundi la G20 waanza Hamburg licha ya maandamano, Rais wa Zambia atangaza siku saba za hali ya hatari na Italia yasema mzigo wa wahamiaji umekuwa mkubwa

Tazama vidio 01:54