Miaka 60 ya ushirikiano kati ya Tanzania na Ujerumani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 28.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Miaka 60 ya ushirikiano kati ya Tanzania na Ujerumani

Tanzania imekuwa ikishirikiana na Ujerumani kwa miaka 60. Mafanikio ya ushirikiano huo ni makubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo utamaduni, maendeleo na utalii. Je unazungumziaje ushirikiano huo wakati ambapo Tanzania inaelekea kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wake? #KurunziUjerumani

Tazama vidio 02:33