Miaka 48 ya Muungano wa Tanzania: Unaelekea wapi? | Matukio ya Kisiasa | DW | 29.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Miaka 48 ya Muungano wa Tanzania: Unaelekea wapi?

Karibuni miaka 50 baada ya Tanganyika na Zanzibar kuungana kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bado masuala ya msingi kuhusiana na Muungano huo bado hayajajibiwa, licha ya Tanzania kuelekea sasa kwenye Katiba Mpya.

Viongozi wa serikali za Jamhuri ya Muungano na Zanzibar katika sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar za mwaka 2011.

Viongozi wa serikali za Jamhuri ya Muungano na Zanzibar katika sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar za mwaka 2011.

Katika kipindi hiki cha Maoni kutoka DW Kiswahili, Othman Miraji anaongoza majadiliano na Profesa Julius Nyang'oro wa Chuo Kikuu cha North Carolina, Marekani; Hamza Hassan Juma, mjumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CCM; mwandishi wa habari Jenerali Ulimwengu wa Dar es Salaam na mwandishi wa habari Salim Said Salim wa Zanzibar.

Kusikiliza kipindi hiki, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Othman Miraji
Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com