Merkel alia na firimbi za wafuasi wa AfD | Media Center | DW | 12.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Merkel alia na firimbi za wafuasi wa AfD

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anatarajiwa kushinda muhula mwingine kwa urahisi. Lakini kampeni katika baadhi ya maeneo ya Ujerumani zimekuwa suala la mkwaruzano, anapokutana na wafuasi sugu wa chama cha siasa kali za kizalendo cha AfD, wanaokuja wakiwa na firimbi.

Tazama vidio 02:04
Sasa moja kwa moja
dakika (0)