Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Sikiliza matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya tarehe 15 Novemba 2020 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3lJJF
Utawala wa Rais Donald Trump unapanga kuongeza mataifa saba kwenye orodha ya mataifa ambayo raia wake hawaruhusiwi kuingia nchini Marekani. Miongoni mwa mataifa hayo ni pamoja na Nigeria, Sudan, Eritrea na Tanzania.
Yaliyoandikwa katika magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika mnamo wiki hii ni pamoja na habari kuhusu kifo cha Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe na matukio ya kisiasa ya nchini Sudan.