Masheikh wa UAMSHO wachunguzwa afya | Matukio ya Afrika | DW | 17.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Masheikh wa UAMSHO wachunguzwa afya

Siku moja baada ya masheikh wa jumuiya ya UAMSHO kuachiwa huru wametakiwa kuchunguzwa afya zao kabla ya kukutana na familia zao kufuatia ushauri ulitolewa na madaktari wao hasa kutokana na maradhi mbali mbali ikiwemo Covid19. Daktari Mfawidhi wa hospitali kuu ya Al Rahma, Dk Saleh Mbarak Mazrui amesema ni muhimu kuchunguzwa ili kuzia maambukizi.

Sikiliza sauti 02:24