You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Vita vya Marekani-Israel na Iran
Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola
Kombe la Dunia la FIFA 2026
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Rais wa zamani wa Ufaransa Sarkozy afika gerezani
Rais Sarkozy atakuwa rais wa kwanza wa zamani wa Ufaransa kuhukumiwa kifungo tangu Rais Marshal Philippe.
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy kwenda jela
Nicolas Sarkozy ambaye atakuwa rais wa kwanza wa Ufaransa na hata katika Umoja wa Ulaya kwenda jela.
Makundi ya Kijihad yasababisha vifo 77,000 Sahel
Haya ni kwa mujibu wa utafiti wa shirika la habari la AFP wa miaka sita kuhusu operesheni zilizorekodiwa na ACLED.
Lecornu anusurika kura za kutokuwa na imani bungeni
Serikali ya Lecornu sasa itaendelea na kazi ngumu ya kujaribu kupitisha bajeti ya mwaka ujao.
Jeshi kutawala Madagascar miaka miwili kabla uchaguzi
Jeshi la Madagascar limempindua Rais Andry Rajoelina baada ya maandamano ya vijana wa kizazi kipya cha Gen Z.
Iran yawapa kifungo kirefu raia wa Ufaransa kwa upelelezi
Mahakama nchini Iran leo imesema imewapa kifungo kirefu raia wawili wa Ufaransa baada ya kuwafungulia mashtaka kadhaa ya
Lecornu asimamisha mpango wa pensheni Ufaransa
Waziri Mkuu wa Ufaransa Sebastian Lecornu ameusimamisha mpango wa pensheni wa Rais Emmanuel Macron wa mwaka 2023.
Jeshi Madagscar latangaza kuchukua madaraka
Kanali mmoja wa jeshi nchini Madagascar aliyewaongoza wanajeshi kuungana na waandamanaji vijana wanaoipinga serikali.
Rajoelina alivunja bunge, polisi ikiungana na waandamanaji
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amelivunja bunge la nchi hiyo.
Macron ateua baraza jipya la mawaziri nchini Ufaransa
Rais Macron ameteua serikali mpya chini ya Lecornu ili kurejesha utulivu wa kisiasa na kupitisha bajeti ya taifa.
Waziri Mkuu wa Ufaransa mbioni kuunda serikali mpya
Muda wa mwisho wa kutangazwa bajeti ya serikali ya Ufaransa nao unasogea kwa kasi.
Le Pen aapa kuzuia utenda kazi wa serikali yoyote mpya
Kiongozi wa siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa Marine Le Pen, amesema Jumatano kuwa atazima juhudi zozote za
Lecornu: Uwezekano wa bunge la Ufaransa kuvunjwa ni mdogo
Waziri Mkuu wa muda wa Ufaransa Sebastian Lecornu Jumatano amesema kuwa uwezekano wa kuvunjwa wa bunge la nchi hiyo ni m
Macron ashinikizwa kujiuzulu kufuatia mgogoro wa kisiasa
Macron ashinikizwa kujiuzulu kufuatia mgogoro wa kisiasa nchini Ufaransa.
Burkina Faso yawatia mbaroni watu 8 wakiwemo 3 wa Ulaya
Wanachama wa Shirika la Misaada wakamatwa kwa tuhuma za ujasusi Burkina Faso.
Macron akabiliwa na shinikizo jipya Ufaransa
Macron anakabiliwa na shinikizo jipya la kisiasa baada ya waziri mkuu wake mpya, kujiuzulu.
Uchaguzi huenda ni suluhisho la mkwamo wa kisiasa Ufaransa
Kauli hiyo imetolewa wakati Waziri Mkuu wa Ufaransa Sebastien Lecornu akijiuzulu.
Waziri Mkuu Mpya wa Ufaransa Sebastien Lecornu ajiuzulu
Kabla ya hatua ya Waziri mkuu huyo kujiuzulu, upinzani walitishia kuiangusha serikali yake.
Waziri Mkuu wa Ufaransa ajiuzulu chini ya mwezi mmoja
Tangu uchaguzi wa mapema ulioitishwa na Macron mwaka jana, siasa za Ufaransa zimekuwa na migawanyiko mikubwa.
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa atangaza Baraza la Mawaziri
Sehemu ya Baraza jipya la Mawaziri chini ya Waziri Mkuu mpya Sébastien Lecornu imaenza kutangazwa.
Maandamano kulaani kuzuiwa misaada ya Gaza yaendelea duniani
Maandamano hayo yanaonyesha kuongezeka kwa hasira ya umma duniani kuhusu hali ya kibinadamu katika ukanda wa Gaza.
Hofu ya bomu lazua taharuki tamasha la Oktoberfest
Polisi pia walichunguza tukio jingine kaskazini mwa Munich, ambako moto ulizuka katika nyumba iliyokuwa na vilipuzi.
Stoltenberg: Ubinafsi wa Trump na mpango tata wa Ukraine
Stoltenberg afichua alivyombembeleza Trump asiondoke NATO, “suluhisho la Kifini” kwa Ukraine na migongano na Ufaransa.
Iran yawaita mabalozi wake wa Ujerumani, Ufaransa, Uingereza
Iran imewarudisha nyumbani wanadiplomasia wake wanaoiwakilisha katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza.
Yanayoendelea katika mzozo wa Mashariki ya Kati
Mpango wa serikali ya Italia ni kuhusu kuteremshwa misaada hiyo katika kisiwa cha Cyprus.
Mali yakatiza ushirikiano wa mapambano ya ugaidi na Ufaransa
Mali haijatoa sababu ya kufukuzwa kwa wafanyakazi wa ubalozi wa Ufaransa mjini Bamako.
Sarkozy: Kutoka Ikulu ya Elysee hadi jela
Nicolas Sarkozy, rais wa zamani wa Ufaransa, amehukumiwa kifungo cha miaka 5 kwa ufadhili haramu wa kampeni zake 2007.
Ufaransa kuandaa mkutano wa dharura wa DRC Oktoba
Felix Tshisekedi ameziomba nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kutambua "mauaji ya kimya kimya" katika nchi yake.
Ufaransa kuandaa mkutano wa dharura wa DRC Oktoba
Ufaransa imesema itaandaa mkutano wa dharura kuangazia hali mbaya ya kibinaadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
Mkutano wa UNGA waanza rasmi New-York
Rais Emmanuel Macron amesisitiza kuwa amani ya kudumu inaweza kupatikana tu kwa kuheshimu haki za pande zote mbili.
Ufaransa yalitambua rasmi taifa huru la Palestina
Siku ya pili ya mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaolenga kuzifufua juhudi za kuundwa kwa mataifa mawili.
Iran, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kukutana
Iran na mataifa yenye nguvu ya Ulaya yanatarajiwa kufanya mazungumzo muhimu ili kuepusha nchi hiyo kuwekewa vikwazo.
Umoja wa Mataifa kujadili kuwa nchi huru
Mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa unaanza New York ukitawaliwa na mjadala wa kuitambua Palestina kama taifa.
Ufaransa, Ubelgiji kuitambua Palestina kama taifa
Mataifa kadhaa yamepanga kuitambua Palestina kama nchi huru katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa utakaofanyika New York.
Umoja wa Mataifa kujadili suluhisho la mataifa mawili
Mkutano wa kilele wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kujaribu kufufua matumaini ya suluhisho la mataifa mawili.
Ufaransa na Saudi Arabia kuongoza mkutano wa kilele wa UNGA
Ufaransa na Saudi Arabia kuongoza mkutano wa kilele wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York.
Maafisa wa Mali wafukuzwa kutoka nchini Ufaransa
Uhusiano kati ya Bamako na mkoloni wa zamani Ufaransa umevurugika katika miaka ya hivi karibuni.
Iran mbioni kuepuka kurejeshewa vikwazo vya kiuchumi
Nchi za Magharibi zaitaka Iran iwaruhusu wakaguzi wa IAEA kufika kwenye maeneo yake ya nyuklia yaliyoshambuliwa
Vyama vya wafanyakazi vyagoma Ufaransa
Vyama vya wafanyakazi vyagoma kupinga hatua za kubana matumizi Ufaransa.
Ujerumani na Ufaransa zawaita mabalozi wa Urusi
Ikulu ya Urusi yasema mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi yamesitishwa kwa muda .
Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa aingia madarakani
Sebastien Lecornu ameahidi kubuni njia za kufanya kazi kwa pamoja na wapinzani.
Wafaransa waandamana kupinga hatua za rais Macron
Maandamano hayo yamesababisha makabiliano na polisi ambapo mamia ya watu wamekamatwa.
Von Leyen kuhutubia Bunge la EU baada ya misururu ya vikwazo
Kiongozi huyo raia wa Ujerumani alichaguliwa tena kama rais wa tume hiyo na wabunge mwaka jan
Serikali ya Ufaransa ukingoni kuporomoka
Serikali ya Ufaransa inakabiliwa na changamoto mbalimbali kuanzia za kijamii hadi za kiuchumi na kusababisha mzozo
Ufaransa: Viongozi wa Ulaya wamfikia Trump baada ya mkutano
Viongozi wa Ulaya wamezungumza na Donald Trump baada ya mkutano kuhusu Ukraine, kwa mujibu wa Ikulu ya Ufaransa.
Zelensky na Ulaya wakutana kusaka dhamana za usalama
Mkutano wa Ulaya wajadili mustakabali wa Ukraine na kujipanga na dhamana za usalama kwa Ukraine.
Viongozi wa Ulaya kukutana Paris kuijadili Ukraine
Viongozi wa Ulaya watakutana Paris Alhamisi.
Ufaransa, Ujerumani kuipa msaada wa ulinzi wa anga Ukraine
Ufaransa na Ujerumani zimeahidi kuipa Ukraine vifaa zaidi vya ulinzi wa anga baada Urusi kuishambulia vikali.
Ujerumani, Ufaransa kujadili uchumi na ulinzi
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron watajadili mkuhusu ulinzi na uchumi
Iran: Tuko tayari kwa mazungumzo ya haki kuhusu nyuklia
Iran imearifu kwamba iko tayari kuanza tena mazungumzo ya haki kuhusu mpango wake wa nyuklia unazozaniwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 22
Ukurasa unaofuatia