1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani yaongoza uuzaji silaha

9 Desemba 2019

Je, wajuwa kwamba 83% ya silaha zote duniani zinatokea Marekani na Ulaya Magharibi, na kwamba Marekani pekee inatoa 59% ya silaha hizo? Nini mchango wa silaha kwenye amani na machafuko ya dunia? Kurunzi 09.12.2019

https://p.dw.com/p/3UTgw