Ripoti ya shirika la utetezi wa haki za binadamu la Human Rights Watch inaonyesha viongozi wa siasa walio tayari kupigania haki za binadamu pamoja na wanaharakati ni muhimu katika kuzuia kufanikiwa kwa viongozi wanaokandamiza haki za binadamu. Tazama vidio.