1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni, miaka 57 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar

26 Aprili 2021

https://p.dw.com/p/3seW8

Ni miaka 57 tangu Tanganyika na Zanzibar kuungana, ikiwa ni nusu karne ya mahusiano baina ya mataifa mawili huru yaliyoamua kuungana. DW imekusanya baadhi ya maoni ya Watanzania jijini Dar es Salaam juu ya mafanikio na changamoto za muungano huo