Makaburi zaidi ya pamoja yagunduliwa Congo | Media Center | DW | 04.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Makaburi zaidi ya pamoja yagunduliwa Congo

Urusi imeanza maombolezo ya siku tatu baada ya shambulio la bomu lililouwa watu 14, watu 58 wameuwawa kwa gesi ya sumu nchini Syria na Umoja wa Mataifa umegundua makaburi ya pamoja zaidi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Papo kwa Papo 04.04.2017

Tazama vidio 01:56
Sasa moja kwa moja
dakika (0)