1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha yangekuwaje bila ya "smartphones"?

19 Novemba 2018

Smartphone..Hiki ni kifaa ambacho katika kipindi cha muongo mmoja sasa kinaonekana kuwa ni muhimu sana kwa maisha ya watu wa rika tofauti tofauti kuwa nayo. Unaonaje, Unadhani maisha yangekuwaje bila ya simu hizi za Smartphones katika kipindi hiki. Sikiliza kwanza makala haya ya Vijana Mchakamchaka kisha tuambie maoni yako.

https://p.dw.com/p/38XFm