1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya juu Venezuela yashambuliwa kwa risasi

28 Juni 2017

Majengo ya mahakama ya Juu zaidi na wizara ya mambo ya ndani Venezuela yashambuliwa kwa risasi, Kenya yawa taifa la kwanza Barani Afrika kutumia dawa za Jeneriki kwa watu wanaoishi na VVU na FIFA yatoa ripoti kuhusu madai ya ufisadi katika mchakato wa zabuni ya kuandaa kombe la dunia. Papo kwa Papo: 28.06.2017

https://p.dw.com/p/2faAg