Maggid Mjengwa wa Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 23.05.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Maggid Mjengwa wa Tanzania

Mwanablogu huyo mwenye umri wa miaka 47 kutoka Iringa, Tanzania, anasifu mchango wa Umoja wa Afrika katika juhudi za kupigania uhuru wa nchi za Afrika ingawa majukumu mapya yanaukabili hivi sasa Umoja huo

Maggid Mjengwa, ein tansanischer Blogger; Copyright: privat

Maggid Mjengwa

"Sherehe za miaka 50 zina umuhimu mkubwa kwa bara la Afrika, mtu akizingatia jumuia hiyo imesimama katika majukwaa mengi ya kimataifa kuwakilisha sauti ya bara la Afrika. Changamoto kubwa inayoukabili Umoja wa Afrika hivi sasa ni kuhakikisha bara la Afrika linajiendeleza kiuchumi na kinadharia."

DW inapendekeza