Raia wa Kenya wanapiga kura kumchagua rais katika kinyang'anyiro kikali kinachowakutanisha rais Uhuru Kenyatta na mpinzani wake Raila Odinga. Na urais wa Jacob Zuma wa Afrika Kusini matatani baada ya bunge kuridhia kura ya siri ya kutokuwa na imani nae.