Maafisa wanane wa tume ya uchaguzi wafurushwa Uganda | Matukio ya Afrika | DW | 23.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Maafisa wanane wa tume ya uchaguzi wafurushwa Uganda

Kufutwa kazi kwa maafisa wanane wa ngazi za juu wa tume ya uchaguzi Uganda kumeibua mjadala mkali miongoni mwa wanasiasa nchini humo, baada ya maafisa hao kushiriki kufanya maandalizi ya uchaguzi mkuu mwaka ujao.

Sikiliza sauti 02:30