1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lissu: Hakuna mazingira ya kuzungumzia siasa Tanzania

Amina Mjahid
14 Februari 2020

Mbunge wa zamani wa jimbo la Singida Mashariki kutokea chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, Tundu Lissu, ambaye alipigwa risasi na watu wasiojulikana, amesema hakuna mazingira ya kuzungumzia masuala ya kisiasa ndani ya Tanzania. Mwanasiasa huyo ametowa kauli hiyo akiwa mjini Berlin, Ujerumani. Zaidi sikiliza mahojiano haya aliyofanyiwa na Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/3XmJh