Kundi la Wazanzibari lataka kuuvunja muungano | Media Center | DW | 20.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kundi la Wazanzibari lataka kuuvunja muungano

Kundi la 'Wazanzibari 39,999' limefikisha shauri katika mahakama ya Afrika Mashariki, kupinga muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Awali, mahakama ililikataa shauri hilo kwa hoja kuwa halikufuata utaratibu wa kisheria.

Tazama vidio 01:17
Sasa moja kwa moja
dakika (0)