1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kufunguliwa kwa kesi ya Freeman Mbowe

5 Agosti 2021

Kesi inayomkabili kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania, Chadema- Freeman Mbowe leo imeshindwa kufanyika kutokana na sababu za kiufundi baada ya mwanasiasa huyo kutofikishwa mahakamani.

https://p.dw.com/p/3yZx0