Klabu ilovuma zamani Orlando Pirates yapoteza makali? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 24.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Klabu ilovuma zamani Orlando Pirates yapoteza makali?

Ilikuwa kati ya vilabu vilivyovuma na kushabikiwa pakubwa barani Afrika. Lakini katika miaka kadhaa iliyopita, klabu hiyo imepoteza sifa zake. Sasa yajitahidi kuinuka tena na tayari mikakati yao imeanza kuwapa ushindi. Vijana Mubashara 77 Asilimia inaangazia ari klabu hiyo kurejea kidedea.

Tazama vidio 03:38