1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kitabu kipya chasimulia misukosuko katika ikulu ya Trump

Daniel Gakuba
6 Septemba 2018

"Fear - Trump in the White House" ni kitabu kipya cha Bob Woodward, kikisimulia misukosuko ndani ya utalawa wa Rais Donald Trump. Daniel Gakuba anazungumza na Profesa George Kakoti, mhadhiri wa chuo kikuu nchini Marekani kuhusu kitabu hicho.

https://p.dw.com/p/34Q8g