1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kesi ya Mbowe yaendelea kusikilizwa

28 Oktoba 2021

Kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kusikilizwa Alhamisi Oktoba 28, 2021.

https://p.dw.com/p/42HsD

Kesi hiyo imeanza kwa mawakili wa upande wa utetezi kumuhoji shahidi wa pili wa upande wa mashtaka Justine Eliya Kaaya. Babu Abdalla amezungumza na mwandishi wetu wa Dar es Salaam George Njogopa ambaye anafuatilia kesi hiyo na kwanza anaelezea kitu kinachoendelea mahakamani.