1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya na Tanzania zafungiana mipaka

19 Mei 2020

Kenya na Tanzania zimeingia kwenye mapambano ya kufungiana mipaka wakati kitisho cha kusambaa kwa virusi vya corona kikiendelea. Jumatatu mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigela aliugunga mpaka wa Horohoro unaoitenganisha Tanzania na Kenya upande wa Kaskazini Mashariki. DW imezungumza naye kufahamu kwa kina juu ya uamuzi huo.

https://p.dw.com/p/3cShV