1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maisha

Kenya yarejea kwenye jukwaa la kimataifa la filamu

Sudi Mnette
16 Oktoba 2023

Kwenye Karibuni leo, Sudi Mnette anamkaribisha mkuu wa usalama mahala pa kazi nchini Tanzania na pia anazungumzia filamu ya Kiswahili kutoka Kenya ambayo imeingia kwenye kuwania tuzo ya kimataifa ya Oscar.

https://p.dw.com/p/4XaPI