Kagame afungua maonyesho ya Saba Saba | Matukio ya Afrika | DW | 01.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kagame afungua maonyesho ya Saba Saba

Rais wa Rwanda, Paul Kagame, yuko ziarani Tanzania ambapo amefungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya Saba Saba Dar es Salaam. Ametaka pawe na ushirikiano thabiti wa kibiashara kati ya Tanzania na Rwanda.

Sikiliza sauti 02:42

Ripoti ya Hawa Bihoga kutoka Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada