SiasaKadili aadhibiwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingonoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSudi Mnette22.06.201822 Juni 2018Kadinali Theodore McCarrick, askofu mstaafu wa kanisa Katoliki katika jimbo Washington ameondolewa katika huduma za kikanisa ili aweze kukabiliwa na adhabu kutokana na kashfa za kingono.https://p.dw.com/p/3047rMatangazo