1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je unaweza kumsomesha mchumba wako kabla ya ndoa?

Babu Abdalla Mohamed Zingo28 Novemba 2019

Leo katika makala ya Vijana Mchakamchaka Babu Abdalla anakuuliza swali je unaweza kumsomesha mchumba wako kabla ya ndoa? Visa vya wapenzi kukosana na hatimaye kutoana uhai si vigeni. Je baada ya kuhitimu, kisha msichana akabadili mawazo na kukataa kuolewa na mwanamume aliyemsomesha, hali inakuwaje?

https://p.dw.com/p/3TsZu