Je, Tulia Ackson alizingatia sheria? | Media Center | DW | 16.05.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Je, Tulia Ackson alizingatia sheria?

Spika wa bunge la Tanzania Tulia Ackson ameamua wabunge 19 wa viti maalumu waliovuliwa uanachama na Chadema kuendelea na shughuli zao za kibunge. Ni maamuzi yaliopokelewa kwa mshangao na Chadema. Tatu Karema amezungumza na Anna Henga , mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania ili kuelezea utaratibu unaohitajika kufuatwa kufanyika kwa maamuzi kama hayo ya bunge.

Sikiliza sauti 02:49