Historia ya kanga na maneno yake | Masuala ya Jamii | DW | 06.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Historia ya kanga na maneno yake

Fahamu historia ya kanga au leso, umuhimu wa maneno yake na jinsi maneno ya kileo yanajipenyeza katika kanga za kileo. Kadhalika John Juma anakuelezea mitizamo kuhusu maneno na matumizi ya kanga.

Sikiliza sauti 09:50
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Makala ya Utamaduni na Sanaa kuhusu historia ya kanga na maneno yake

Kanga au leso ni vazi ambalo linatumiwa sana Afrika hasa na wanawake. Je unafahamu historia ya leso? Maneno katika kanga hupitisha ujumbe maalum. Katika makala haya ya Sanaa na Utamaduni yaliyoandaliwa na John Juma, utasikia historia ya kanga na jinsi maneno ya kidijitali au kileo pia yanajipenyeza kwenye leso. Bonyeza alama ya kusikiliza upate kujua mengi zaidi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com