Hekima za Mzee John Akhwari | Media Center | DW | 07.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hekima za Mzee John Akhwari

Kutana mwanariadha aliyeipeperusha bendera ya Tanzania kwa ujasiri katika medani ya mchezo wa riadha John Akhwari.

Tazama vidio 00:58

Siku chache baada yakurejeea toka Marekani ambako alitukiwa nishani ya Uzalendo Ulio Tukuka, Mwanariadha wa kwanza kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za Kimataifa na ambaye aliacha historia ya aina yake ya dunia nchini Mexico mwaka mawaka 1968 kwakumbia umbali wa kilometa 12 huku akiwa amevunjika mguu, John Akwari, ameshauri kuanzishwa kwa vituo vya kikanda nchini Tanzania ili kukuza vipaji vya michezo mbalimbali.