1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatua ya rais Samia inaweza kuleta maridhiano Tanzania?

Grace Kabogo
9 Machi 2023

Hatua ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhudhuria mkutano wa Baraza la Wanawake wa Chadema, BAWACHA na kuzungumzia masuala yanayohusu kukuza demokrasia na kuleta maridhiano, imezusha maoni tofauti. Wengine wanaiona kama isiyoweza kutoa picha kamili kuonesha maridhiano ya kisiasa, na wengine wakiipongeza. Zaidi Grace Kabogo amezungumza na mchambuzi wa siasa, Marcel Hamdun.

https://p.dw.com/p/4OR7c