Google yaadhimisha miaka 20. Imebadilisha vipi maisha yako? | Masuala ya Jamii | DW | 12.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Google yaadhimisha miaka 20. Imebadilisha vipi maisha yako?

Google imetimiza miaka 20 tokea kuanzishwa kwake. Na katika mambo yaliyovuma katika mitandao ya kijamii wiki hii ni vifo vya afande Muhammad Kirumira nchini Uganda na kingine cha msichana wa Kikenya Sharon Otieni anaetajwa kuwa alikuwa na ujauzito alipouawa.

Sikiliza sauti 09:44