1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Google

Google ni kampuni ya Kimarekani inayotoa huduma pamoja na kutengeneza bidhaa zinazohusiana na mtandao wa Inatneti.

Ni kampuni yenye kumiliki moja wapo ya tovuti maarufu na inayotumika zaidi mtandaoni, katika kutafuta kurasa na habari tofauti. Tovuti hiyo nayo inajulikana kwa jina la Google. Kampuni ya Google ilianzishwa na Larry Page pamoja na Sergey Brin wakati walipokuwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Stanford. Google pia ni mmiliki wa tovuti ya kuchangia vidio mtandaoni ya Youtube.