1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JangaUturuki

DW yazungumza na manusura wa tetemeko la ardhi nchini Uturuki

7 Februari 2023

DW imepata nafasi ya kuzungumza na mmoja wa manusura wa janga hilo la asili. Yeye anaitwa Said Mwamba anayeishi kwenye mji wa Gaziantep ulio kusini mashariki mwa Uturuki ukiwa umbali wa kilometa kama 30 kutoka kitovu cha tetemeko la ardhi. Kwanza kabisa anatueleza kile alichoshuhudia pale tetemeko lilipoutikisa mji anakoishi.

https://p.dw.com/p/4NBaL