1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dav D nyota wa muziki wa Tanzania anaemulika Kenya

Sudi Mnette14 Machi 2019

David Nkya au Dav D Mtayarishaji wa muziki wa Tanzania anawakilisha vyema taifa lake nchini Kenya katika miondoko ya muziki wa kizazi kipya Bongo Flava. Zaidi ungana na Sudi Mnette katika kipindi cha karibuni kuyafahamu mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/3F42G