CUF yatetea uchaguzi wa kaimu Katibu Mkuu | Matukio ya Afrika | DW | 07.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tanzania

CUF yatetea uchaguzi wa kaimu Katibu Mkuu

Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Wananchi CUF, Magdalena Sakaya, ametangazwa kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad kwa maelezo kuwa Maalim Seif ameshindwa kutekeleza ipasavyo majukumu yake ya kazi.

Sikiliza sauti 03:00

Mahojiano na Abdul Kambaya wa CUF

Naibu Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama hicho, Abdul Kambaya, ameiambia DW kwamba uteuzi huu si wa Mwenyekiti wa Chama, Prof. Ibrahim Lipumba, bali ni mwongozo wa katiba ya chama.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com