1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CUF inayoongzwa na Maalim Seif yamzungumzia Lipumba

16 Agosti 2018

Baada mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Professa Lipumba kufanya mkutano wake leo huko Zanzibar, upande unaoongozwa na Katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif Shariff ambao haumtambui Lipumba kuwa Mwenyekiti umezungumza. Zaidi msikilize Salim Bimani katibu wa uenezi alipozungumza na Jacob Safari.

https://p.dw.com/p/33Gyx