1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema inasemaje kuhusu wabunge waasi kuendelea na ubunge?

16 Mei 2022

Spika wa bunge la Tanzania Tulia Ackson wa kuwaruhusu wabunge hao 19 wa viti maalumu wa chama cha chadema kuendelea na shughuli zao za kibunge licha ya kuvuliwa uanachama na baraza kuu la chama hicho, Tatu Karema amezungumza na John Mrema, katibu mkuu wa chama cha chadema kutaka kujuwa kama chama, wamechukuliaje uamuzi wa spika?

https://p.dw.com/p/4BMMz