1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biden azuru Uingereza

10 Juni 2021

Rais wa Marekani Joe Biden amefanya ziara yake ya kwanza kama rais kwa kuzuru Uingereza kukutana na mwenyeji wake Boris Johnson lakini pia na wakuu wa nchi wanachama wa G7. Anatarajiwa kutangaza mchango wa dozi milioni 500 ya chanjo dhidi ya COVID.19.

https://p.dw.com/p/3uiGU