Bensouda: ICC haitesi wafungwa | Matukio ya Afrika | DW | 01.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Bensouda: ICC haitesi wafungwa

Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu amekanusha madai kwamba wapo wafungwa wanaoteswa. Waasi wa LRA wameeleza kwamba Joseph Kony amewaonya kuwa watateswa na ICC wakijisalimisha.

Sikiliza sauti 02:37

Sikiliza ripoti ya Emmanuel Lubega kutoka Kampala

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com