AMMAN. Puttin kukutana leo na mfalme Abdullah na rais Mahmoud Abbas
13 Februari 2007Matangazo
Rais Vladimir Puttin ambae yuko ziarani huko mashariki ya kati leo anakamilisha ziara yake hiyo katika maeneo yaliyo washirika wakuu wa Marekani.
Leo hii Puttin anatarajiwa kukutana na mfalme Abdullah wa Jordan na rais wa mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas katika mji mkuu wa Amman.