Abuja.Helikopta yaanguka na kuua mtu mmoja nchini Nigeria. | Habari za Ulimwengu | DW | 10.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Abuja.Helikopta yaanguka na kuua mtu mmoja nchini Nigeria.

Mtu mmoja amefariki na wengine watatu wamejeruhiwa vibaya, wakati helikopta iliyokodiwa ilipoanguka karibu na kusini- magharibi mwa Nigeria katika mji wenye mafuta wa Wari.

Kuanguka kwa helikopta hiyo inayofanyakazi maeneo ya jangwani kumetokea siku 12 baada ya kuanguka kwa ndege ya abiria iliyouwa watu 96 karibu na mji mkuu wa Nigeria, Abuja mara tu baada ya kuruka.

Mwili wa mtu aliyefariki hadi hivi sasa bado haujafahamika.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com