Siasa31.05.2020 - Matangazo ya Jioni To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSK2 / S02S31.05.202031 Mei 2020Waandamanaji nchini Marekani wameziharibu sanamu na minara ya kibaguzi. Umoja wa Ulaya umeionya Uingereza kwa kusuasua kwenye majadiliano ya mkataba wa biashara. Israel imeomba radhi kwa kifo cha kijana wa Palestina mwenye matatizo ya akili.https://p.dw.com/p/3d4dnMatangazo