Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine asema mkewe amekimbizwa hospitalini baada ya kushambuliwa na wanajeshi,wajumbe wawili wa Marekani wako Israel kwa mazungumzo na Netanyahu na wanaharakati Iran wasema idadi ya watu waliofariki wakati wa maandamano yapita 5100